
Uhondo TV
KANUNI NA MUONGOZO YA UHONDO TV
Uhondo TV Online ni chombo cha habari kinachozingatia weledi na maadili yanayoongoza katika tasnia ya habari. Tumejikita katika kuripoti taarifa zote za kijamii ikiwemo habari za kitaifa, kimataifa, michezo, burudani n.k. Tunazingatia misingi ya uhariri katika habari kwa kufuata yafuatayo:
i. Kuripoti habari za ukweli wakati wote
ii. Kusaidia kurekebisha taarifa zilizopotoshwa kwa jamii ili kuwapa ukweli wafuatiliaji wetu kwa wakati sahihi.
iii. Kufuata kanuni na misingi ya habari kwa kuripoti habari zenye uwiano na kutoa fursa sawa kwa pande zote
MUONGOZO:
Wafuasi wetu (subscribers)
i.Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake
ii. Uhondo TV ina uhuru wa kufuta maoni yoyote yasiyo na maadili au yenye lugha chafu
iii. Uhondo TV ina uhuru wa kumzuia mfuatiliaji aliyekiuka masharti asiweze kuona habari zetu au kuweza kuweka maoni.
iv. Uhondo TV haitahusika moja kwa moja na maoni yatolewayo na wafuasi wetu ikiwemo lugha zisizofaa n.k
Country: Youtube channel: Uhondo TVCreated: July 28, 2017
Subscriber count: 649,000
Country rank by subscribers: 32
Channel views: 134,469,006
Country rank by views: 23
Channel videos: 31,176