
Mikasa Tele
KANUNI NA MUONGOZO
Mikasa Tele ni chombo cha habari kinachoweka mbele maadili yanayoongoza tasnia ya habari. Tumejipa kipaumbele katika kuripoti matukio ya burudani yanayohusu siasa, muziki, filamu, michezo nakadhalika, mitindo ya maisha na masuala ya kijamii. Tunazingatia misingi ya uhariri katika habari kwa kufuata yafuatayo:
1. Kuripoti habari za ukweli
2. Kusaidia kurekebisha taarifa zilizopotoshwa ili kuwapa ukweli wafuatiliaji wetu
3. Kufuata misingi ya habari kwa kuripoti habari zenye uwiano na kutoa fursa sawa kwa pande zote
4. Kujiepusha na udini, ukabila au mambo yoyote yanayoweza kusababisha uchochezi
Muongozo kwa (subscribers) wetu
1. Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake
sisi tuna haki ya kufuta maoni yasiyo na maadili au yenye matusi.
Country: Youtube channel: Mikasa TeleCreated: November 17, 2015
Subscriber count: 363,000
Country rank by subscribers: 46
Channel views: 30,907,735
Country rank by views: 51
Channel videos: 2,681