
Leo TV
KANUNI NA MUONGOZO
Leo TV ni chombo cha habari Kinachochapisha Taarifa kwa kuzingatia Weledi na taratibu zinazosimamia tasnia ya habari. Tumelenga zaidi Kukuwasilishia Taarifa za Matukio mbalimbali yanayojiri Duniani iwe katika Nyanja za Siasa, Michezo, Burudani, Matukio na Masuala ya Kijamii
MUONGOZO KWA WAFUASI WETU
- Kila mmoja na Haki na Uhuru wa Kutoa Maoni yake
- Leo TV ina Mamlaka ya Kufuta maoni yoyote yanayokiuka Maadili
- Leo TV ina Mamlaka ya kukuzuia wewe Mfuatiliaji unayekiuka Maadili usiweze kuona Taarifa zetu au kutoa maoni
MAWASILIANO
Barua Pepe: leotvtz@gmail.com
Simu: +255769683192
Instagram: LeoTVonline
Twitter: LeoTVonline
Country: Youtube channel: Leo TVCreated: February 21, 2014
Subscriber count: 328,000
Country rank by subscribers: 52
Channel views: 42,471,588
Country rank by views: 47
Channel videos: 8,088