
ZAHIR FILMS
Karibu sana ZAHIR FILMS 🎬🔥
Hapa ndio nyumbani kwa filamu na series zenye simulizi kali, drama za kusisimua, mapenzi, action na stories zenye kugusa maisha halisi..Tunakuahidi kukuletea maudhui bora yenye ubunifu wa hali ya juu, burudani ya kweli na vipindi vitakavyokufanya usubiri episode inayofuata kwa hamu.
Jiunge na familia ya ZAHIR FILMS kwa:
✨ Ku-SUBSCRIBE
✨ Ku-LIKE
✨ Ku-COMMENT
✨ Ku-SHARE videos zetu
Asante kwa kutembelea channel yetu. Safari ya burudani inaanzia hapa! 🎥❤️
Country: Youtube channel: ZAHIR FILMS Created: May 11, 2019
Subscriber count: 484,000
Country rank by subscribers: 42
Channel views: 47,192,147
Country rank by views: 47
Channel videos: 2,249